كتاب Al kashaafu Mwangaza Katika Adabu Za Itikafuكتب إسلامية

كتاب Al kashaafu Mwangaza Katika Adabu Za Itikafu

Kila sifa njema ni zake Mwenyezi Mungu aliye juu mwingi wa kusamehe, sala na salamu ziwe juu ya Mtume wake mteule, na ziwe juu ya watu wake na maswahaba zake, na wote waliokuja baada yao, amma baad. Hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu ameweka baadhi ya masiku kuwa bora kuliko mengine, na hakuna msimu wowote ulio bora ila Mwenyezi Mungu anaweka wadhifa bora wa kumtii, basi mtu mwenye mafanikio ni yule anaeitumia nafasi ya misimu ya miezi, masiku na masaa, na akajikurubisha kwa Mola wake ndani ya masiku hayo, kwa kufanya twaa, huenda akapata mafanikio ndani ya masiku hayo, ambayo yatampa amani kutokana na moto wa jahanam. Na miongoni mwa matendo makubwa yaliyo bora katika masiku kumi ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhan: Itikafu: Mwenyezi Mungu ameitaja katika aya za swaum, amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: {Wala msichanganyike nao (msiwaingilie), na hali mnakaa Itikafu msikitini. Hiyo ni mipaka ya Mwenyezi Mungu, basi msiikaribie. Namna hivi Mwenyezi Mungu anabainisha Ishara zake kwa watu ili wapate kumcha}. (Al-baqrah: 187). K Kitabu hiki kina zungumzia Mwangaza kuhusu ibada ya kukaa itikafu, maana yake adabu zake na masharti ya itikafu na faida zake, pia kimelezea sehemu na wakati wa itikafu, na itikafu ya mfanya kazi na makosa ya wanaofanya itikafu.
محمد صالح المنجد - «محمد صالح» المنجد (13 يونيو 1961 -) (30 ذو الحجة 1380 هـ -) فقيه وداعية سوري من أصل فلسطيني مُقيم في السعودية، ولد لأبوين فلسطينيين لاجئين في سوريا، ثم سافر أهله إلى السعودية فنشأ وترعرع هناك حتى نال درجة البكالوريوس من جامعة الملك فهد للبترول والمعادن. ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ ظاهرة ضعف الإيمان الأعراض الأسباب العلاج ❝ ❞ كيف عاملهم صلى الله عليه وسلم ❝ ❞ كيف تقرأ كتابا؟ ❝ ❞ مفسدات القلوب: النفاق ❝ ❞ اترك أثرا قبل الرحيل ❝ ❞ 70 مسألة في أحكام الصيام ❝ ❞ أعمال القلوب: التقوى ❝ ❞ أحداث مثيرة فى حياة الشيخ العلامة الألبانى ❝ ❞ Pojava slabljenja imana simptomi uzroci i liječenje ❝ الناشرين : ❞ موقع دار الإسلام ❝ ❞ العبيكان للنشر ❝ ❞ دار الإسلام للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الوطن للطباعة والنشر والتوزيع - السعودية ❝ ❞ دار الوطن للطباعة والنشر والعلاقات العامة ❝ ❞ مدار الوطن للنشر ❝ ❞ دار الإيمان للطبع والنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتب الدعوة بالربوة ❝ ❞ مجموعة زاد للنشر ❝ ❞ شركة سفير ❝ ❞ مكتبة السنة ❝ ❱
من كتب إسلامية باللغة السواحلية كتب إسلامية بلغات أخرى - مكتبة كتب إسلامية.

وصف الكتاب : Kila sifa njema ni zake Mwenyezi Mungu
aliye juu mwingi wa kusamehe, sala na
salamu ziwe juu ya Mtume wake mteule, na
ziwe juu ya watu wake na maswahaba zake,
na wote waliokuja baada yao, amma baad.
Hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu ameweka
baadhi ya masiku kuwa bora kuliko mengine,
na hakuna msimu wowote ulio bora ila
Mwenyezi Mungu anaweka wadhifa bora wa
kumtii, basi mtu mwenye mafanikio ni yule
anaeitumia nafasi ya misimu ya miezi,
masiku na masaa, na akajikurubisha kwa
Mola wake ndani ya masiku hayo, kwa
kufanya twaa, huenda akapata mafanikio
ndani ya masiku hayo, ambayo yatampa
amani kutokana na moto wa jahanam.


Na miongoni mwa matendo makubwa yaliyo
bora katika masiku kumi ya mwisho ya
mwezi mtukufu wa Ramadhan:
Itikafu: Mwenyezi Mungu ameitaja katika
aya za swaum, amesema Mwenyezi Mungu
Mtukufu: {Wala msichanganyike nao
(msiwaingilie), na hali mnakaa Itikafu
msikitini. Hiyo ni mipaka ya Mwenyezi
Mungu, basi msiikaribie. Namna hivi
Mwenyezi Mungu anabainisha Ishara zake
kwa watu ili wapate kumcha}. (Al-baqrah:
187).
K







Kitabu hiki kina zungumzia Mwangaza kuhusu ibada ya kukaa itikafu, maana yake adabu zake na masharti ya itikafu na faida zake, pia kimelezea sehemu na wakati wa itikafu, na itikafu ya mfanya kazi na makosa ya wanaofanya itikafu.

للكاتب/المؤلف : محمد صالح المنجد .
دار النشر : موقع دار الإسلام .
سنة النشر : 2016م / 1437هـ .
عدد مرات التحميل : 6025 مرّة / مرات.
تم اضافته في : الثلاثاء , 26 مارس 2019م.
حجم الكتاب عند التحميل : 434.9 كيلوبايت .

ولتسجيل ملاحظاتك ورأيك حول الكتاب يمكنك المشاركه في التعليقات من هنا:

Kila sifa njema ni zake Mwenyezi Mungu
aliye juu mwingi wa kusamehe, sala na
salamu ziwe juu ya Mtume wake mteule, na
ziwe juu ya watu wake na maswahaba zake,
na wote waliokuja baada yao, amma baad.
Hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu ameweka
baadhi ya masiku kuwa bora kuliko mengine,
na hakuna msimu wowote ulio bora ila
Mwenyezi Mungu anaweka wadhifa bora wa
kumtii, basi mtu mwenye mafanikio ni yule
anaeitumia nafasi ya misimu ya miezi,
masiku na masaa, na akajikurubisha kwa
Mola wake ndani ya masiku hayo, kwa
kufanya twaa, huenda akapata mafanikio
ndani ya masiku hayo, ambayo yatampa
amani kutokana na moto wa jahanam.

2
Na miongoni mwa matendo makubwa yaliyo
bora katika masiku kumi ya mwisho ya
mwezi mtukufu wa Ramadhan:
Itikafu: Mwenyezi Mungu ameitaja katika
aya za swaum, amesema Mwenyezi Mungu
Mtukufu: {Wala msichanganyike nao
(msiwaingilie), na hali mnakaa Itikafu
msikitini. Hiyo ni mipaka ya Mwenyezi
Mungu, basi msiikaribie. Namna hivi
Mwenyezi Mungu anabainisha Ishara zake
kwa watu ili wapate kumcha}. (Al-baqrah:
187).
Kisha akausia kwamba Misikiti isafishwe
kwa ajili ya itikafu, amesema Mwenyezi
Mungu Mtukufu: {Na tuliagana na Ibrahim
na Ismail: Itakaseni Nyumba yangu kwa ajili
ya wanao izunguka kwa kut'ufu na wanao
jitenga huko kwa ibada, na wanao inama na
kusujudu}. (Al-baqrah: 125).
Na alikuwa Mtume (s.a.w) yanapoingia
masiku kumi ya mwisho ya mwezi mtukufu
wa Ramadhan anafunya juhudi katika ibada
na anajitenga na wake zake na anawaamsha

3
watu wake kwa ajili ya swala, na alikuwa
hamuachi yeyote katika watu wake mwenye
uwezo wa kusimama usiku ila alikua
anamuamsha, na akikesha kwa kuswali na
kumtaja Mwenyezi Mungu na kusoma
Qur'an, na alikuwa anaongeza juhudi katika
kufanya ibada zaidi ya ilivyokuwa kawaida
yake, na alikua akijitahidi katika masiku hayo
kwa ibada zaidi ya alivyokuwa akijitahidi
katika masiku mengine, na alikuwa akikaa
itikafu msikitini kwa ajili ya kujikurubisha
kwa Mola wake.
Maana ya Itikafu: Ni kulazimika kuwa
msikitini na kukaa ndani yake kwa nia ya
ibada na kujikurubisha kwa Mwenyezi
Mungu Mtukufu.
Makusudio ya Itikafu: "Ni kuutuliza moyo
kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu na kuacha
kujishughulisha na watu ili kujishughulisha
na Mwenyezi Mungu peke yake, inakuwa
akili yake yote na moyo wake wote viko kwa
Mwenyezi Mungu Mtukufu, na mawazo yake
yote ni katika kumtaja Mwenyezi Mungu

4
Mtukufu, na anafikiria ni jinsi gani
atajikurubisha kwake na kupata radhi zake".
Zadul-Maad.
"Kila yanapokuwa na nguvu maarifa ya
kumjua Mwenyezi Mungu na kumpenda na
kufurahika nae, basi mambo hayo
yanamfanya mtu ajishughulishe na Mwenyezi
Mungu moja kwa moja katika hali zake zote".
Ibn Rajab, Latwaaif Al-maarif.
Na alikuwa Mtume (s.a.w) akikaa itikafu
katika masiku kumi ya mwisho ya mwezi wa
Ramadhan mpaka Mwenyezi Mungu
alipomfisha, kisha wakakaa wake zake baada
yake. Bukhar na Muslim.
Itikafu ni katika Sunna ambazo ni watu
wachache sana wanaozifanyia kazi, amesema
Ibn Shihaab Al-Zuhri Mwenyezi Mungu
amrehem: (Maajabu yaliyoje ya waislamu!
Wameacha itikafu pamoja na kwamba
Mtume (s.a.w) hakuiacha tangu anafika
Madina mpaka Mwenyezi Mungu
anamchukua).


Na katika ibada hii kuna ubora na maana
nyingi, na miongoni mwazo:
-Ni kufurahi kwa kuwa na Mwenyezi Mungu
na kuwa nae faragha na kuelekea kwake.
-Ni kupata malezi ya kuipa nyongo dunia na
kuifanya kuwa ndogo, na kuvumilia kutokana
na kule kuiacha ladha ya usingizi na raha ya
kitanda, na kujiweka mbali na starehe, na
kumwelekea Mwenyezi Mungu na
kujikurubisha kwake kwa kufanya aina
tofauti za ibada.
-Miongoni mwa fadhila za itikafu, ni utulivu
wa nafsi, na kusoma Qur'an na kuikhitimisha
(kuimaliza), na kufanya toba ya kweli, na
kusimama usiku, na kujizoesha kusimama
usiku, na kuutumia vizuri wakati, na moyo
kutengamaa na kuuweka kwa Mwenyezi
Mungu Mtukufu, na kuuhuisha kwa
kutafakari na kuzingatia.

 

 

 


 Kitabu hiki kina zungumzia Mwangaza kuhusu ibada ya kukaa itikafu, maana yake adabu zake na masharti ya itikafu na faida zake, pia kimelezea sehemu na wakati wa itikafu, na itikafu ya mfanya kazi na makosa ya wanaofanya itikafu.



نوع الكتاب : pdf.
اذا اعجبك الكتاب فضلاً اضغط على أعجبني
و يمكنك تحميله من هنا:

تحميل Al kashaafu Mwangaza Katika Adabu Za Itikafu
محمد صالح المنجد
محمد صالح المنجد
Mohamed Saleh AlMunjed
«محمد صالح» المنجد (13 يونيو 1961 -) (30 ذو الحجة 1380 هـ -) فقيه وداعية سوري من أصل فلسطيني مُقيم في السعودية، ولد لأبوين فلسطينيين لاجئين في سوريا، ثم سافر أهله إلى السعودية فنشأ وترعرع هناك حتى نال درجة البكالوريوس من جامعة الملك فهد للبترول والمعادن. ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ ظاهرة ضعف الإيمان الأعراض الأسباب العلاج ❝ ❞ كيف عاملهم صلى الله عليه وسلم ❝ ❞ كيف تقرأ كتابا؟ ❝ ❞ مفسدات القلوب: النفاق ❝ ❞ اترك أثرا قبل الرحيل ❝ ❞ 70 مسألة في أحكام الصيام ❝ ❞ أعمال القلوب: التقوى ❝ ❞ أحداث مثيرة فى حياة الشيخ العلامة الألبانى ❝ ❞ Pojava slabljenja imana simptomi uzroci i liječenje ❝ الناشرين : ❞ موقع دار الإسلام ❝ ❞ العبيكان للنشر ❝ ❞ دار الإسلام للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الوطن للطباعة والنشر والتوزيع - السعودية ❝ ❞ دار الوطن للطباعة والنشر والعلاقات العامة ❝ ❞ مدار الوطن للنشر ❝ ❞ دار الإيمان للطبع والنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتب الدعوة بالربوة ❝ ❞ مجموعة زاد للنشر ❝ ❞ شركة سفير ❝ ❞ مكتبة السنة ❝ ❱.



كتب اخرى في كتب إسلامية باللغة السواحلية

RISALA FUPI YA KUMUWEZESHA MTU KUPAMBANUA NI IPI DINI YA HAKI PDF

قراءة و تحميل كتاب RISALA FUPI YA KUMUWEZESHA MTU KUPAMBANUA NI IPI DINI YA HAKI PDF مجانا

SIFA ZA MKE MWEMA PDF

قراءة و تحميل كتاب SIFA ZA MKE MWEMA PDF مجانا

Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari wa kitabu cha Al Usulu AL Thalathah PDF

قراءة و تحميل كتاب Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari wa kitabu cha Al Usulu AL Thalathah PDF مجانا

UBORA WA UISLAMU PDF

قراءة و تحميل كتاب UBORA WA UISLAMU PDF مجانا

HIJABU PDF

قراءة و تحميل كتاب HIJABU PDF مجانا

AQIDATUL WASITWYYAH PDF

قراءة و تحميل كتاب AQIDATUL WASITWYYAH PDF مجانا

المزيد من كتب علوم القرآن في مكتبة كتب علوم القرآن , المزيد من كتب إسلامية متنوعة في مكتبة كتب إسلامية متنوعة , المزيد من إسلامية متنوعة في مكتبة إسلامية متنوعة , المزيد من كتب الفقه العام في مكتبة كتب الفقه العام , المزيد من كتب التوحيد والعقيدة في مكتبة كتب التوحيد والعقيدة , المزيد من مؤلفات حول الحديث النبوي الشريف في مكتبة مؤلفات حول الحديث النبوي الشريف , المزيد من كتب أصول الفقه وقواعده في مكتبة كتب أصول الفقه وقواعده , المزيد من التراجم والأعلام في مكتبة التراجم والأعلام , المزيد من السنة النبوية الشريفة في مكتبة السنة النبوية الشريفة
عرض كل كتب إسلامية ..
اقرأ المزيد في مكتبة كتب إسلامية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب تقنية المعلومات , اقرأ المزيد في مكتبة المناهج التعليمية والكتب الدراسية , اقرأ المزيد في مكتبة القصص والروايات والمجلّات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الهندسة والتكنولوجيا , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب والموسوعات العامة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب تعلم اللغات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب التنمية البشرية , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب التعليمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب التاريخ , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأطفال قصص ومجلات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الطب , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب العلمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب علوم سياسية وقانونية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأدب , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الروايات الأجنبية والعالمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب اللياقة البدنية والصحة العامة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأسرة والتربية الطبخ والديكور , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب الغير مصنّفة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب المعاجم واللغات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب علوم عسكرية و قانون دولي
جميع مكتبات الكتب ..